Habazi zenu wadau...!
Kutokana na watu wengi kuwa na matatizo mbalimbali yanayohusu technolojia ya habari (IT) nimeona ni bora nifungue hii blog ya Mubenizzo techno Desk....ili Tuwe Tunasaidiana katika dawati letU hili jipya kabisaa la Technolojia.
Hivyo Unashauriwa kutembelea hii blog mara kwa mara kwani nitakuwa naweka vitu vinavyokwenda na wakati ili kujua Dunia yetu na Tanzania yetu kwa ujumla tupo wapi na nini tufanye tuweze kukimbizana na ulimwengu huu wa Teknolojia ya Habari.
Cha Muhimu zaidi nitakuwa natoa msaada wa kiutaalaamu katika maswala ya IT, kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa ushauri huo kupitia simu yangu ya mkononi ila nimegundua kuna matatizo mengi yanayofanana na yanasumbua watu wengi.
Nitaangalia matatizo ambayo ni common na nitayatolea majibu hapa hapa MUBENNIZZO TECHNO-DESK hivyo jitahidi kupita hapa mara kwa mara.
Ni hayo tuu kwa leo na nina sema 'KARIBUNI SANA, KARIBUNI WOTE'
This is Good.....Can't wait...!
ReplyDeleteKaribu sana..!
DeleteMe too cant wait, way to go lecturer!!!
ReplyDelete