MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI
Utangulizi:
- Kumbuka kuhama rasmi ni December 31, 2012.
- Majaribio ya mfumo wa Dijitali yalianza kufanywa toka mwaka 2006 Mkoani Dodoma hivyo ni mpango uliokuwepo kwa muda mrefu.
Historia ya Utangazaji:
Utangazaji
wa habari hapa Tanzania ulianza toka mwaka 1951, Kipindi hiki kulikuwa kuna
kitu kinaitwa Voice of Dar es salaam-Mnazi mmoja pale.
- Kipindi hiki ilikuwa ukitakata kusikia habari ni lazima uende mnazi mmoja ambapo watu walikuwa wanakusanyika kupata habari ambapo matangazo ya habari yalikuwa yanarushwa ‘Live’ kwa kutumia kipaza sauti
- Kipindi hiki ilikuwa ukitakata kusikia habari ni lazima uende mnazi mmoja ambapo watu walikuwa wanakusanyika kupata habari ambapo matangazo ya habari yalikuwa yanarushwa ‘Live’ kwa kutumia kipaza sauti
-
Mwaka
1956 Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) ilianzishwa baada ya uhuru
- mwaka 1965 ikabadilishwa jina na kuitwa Radio Tanzania Dar es salaam(RTD)
- Mwaka 1993 Sera ya Mawasiliano huru ilianzishwa hapa vikaibuka vyombo mbalimbali vya habari TV na Radio za watu Binafsi.
- mwaka 1965 ikabadilishwa jina na kuitwa Radio Tanzania Dar es salaam(RTD)
- Mwaka 1993 Sera ya Mawasiliano huru ilianzishwa hapa vikaibuka vyombo mbalimbali vya habari TV na Radio za watu Binafsi.
Kutoka Mwaka
1993 mpaka sasa Tanzania tuna vituo vya kurusha matangazo ya radio visivyozidi
80 na Television zisizozidi 30.
Teknolojia ya Analojia
Kwa ufupi
hatuwezi kuiepuka teknolojia ya Analojia moja kwa moja kwani Macho yetu yana
uwezo wa kuona picha zilizo kwenye mfumo wa Analojia Halikadhalika Masikio yetu
yanasikia sauti iliyo katika mfumo wa analojia. Hivyo kinachobadilika ‘exactly’
ni namna haya matangazo yatakavyokuwa yanasafirishwa (Masafa) kutoka kituo cha
matangazo hadi kumfikia mtazamaji.
Mapungufu Ya Analojia/Faida za Dijitali(Andavantages of Digital Broadcasting)
1) Matumizi Mabaya ya Masafa
(‘Bandwidth’)
-Hii ni rasilimali ambayo kila mtu anaitaka ili aweze kurusha matangazo,
Tanzania sasa kila mtu/Taasisi na jumuiya mbalimbali wanataka kuanzisha TV zao
na matokeo yake haya masafa yanakuwa hayatoshi.Kwenye Dijitali masafa moja
inatumika kusafirisha Channel (TV) nyingi.(Channel Encoding and Decoding).
2) Uingiliano wa Masafa
(Confidentiality)
-Usiri unaongezeka kwenye Dijitali kwani hakuna kuingiliana na utahitaji
Decoder husika uweze kupata matangazo husika.
3) Matumizi makubwa ya Umeme (High power consuption)
3) Matumizi makubwa ya Umeme (High power consuption)
Umeme wa kusafirisha Chanel moja
unaweza kutumika kusafirisha channel hadi 20 Kwenye mfumo wa Dijitali.
4) Ubora wa sauti na picha kwenye mfumo
wa Dijitali kuliko Analojia.
5) Parental Control.
Unauwezo wa kuchagua channel zipi ziangaliwe na watu gani kwa wakati gani
mfano; watoto, channel za dini, Michezo n.k. ukiwa
katika mfumo wa Dijitali.
6) Huduma nyingi za ziada-
Tunapozungumzia dijitali tunazungumzia IP
Television hapa tutaweza kutumia mtandao wa internet kupitia TV zetu (sina
haja ya kutaja faida za mtandao wa internet kwani wote mnazijua).
![]() |
| Picture showing Digital TV being used in Managing Bank account, Shopping Online etc. |
Upokeaji wa Matangazo ya Dijitali (Receiving Digital Broadcasting)
Ili uweze
kupata matangazo ya Dijitali kwenye TV yako inatakiwa uwe na King’amuzi
(Decoder) au uwe na Digital Ready TV.
- King’amuzi (Decoder)
Mpaka sasa Serikali kupitia TCRA imeshatoa Leseni 3 kwa wadau (Shareholders) wa mfumo huu mpya wa
Dijitali TV.ambao ni ;
1) Star Times (TBC) – Hawa tayari wameshaanza kufanya kazi na ving’amuzi vyao
Vipo
madukani.
2) Ting (ATN) - Hawa pia wapo tayari na Ving’amuzi vyao vipo madukani.
3) Basic Media (jointly ITV & Star TV)
Hawa wanamalizia kuweka miundo mbinu mda si mrefu Ving’amuzi vyao vitakuwaMadukani.
N.B:
Kila leseni
moja inampa mdau mmoja uwezo wa kurusha TV 300, Hivyo tutakuwa na uwezo
wa kuwa na Television 900……huh.!
- Digital Ready TV
Hizi ni Luninga ambazo ving’amuzi vipo tayari ndani yake (Built in)…hapa ndugu
zangu tuwe makini kwani mataperi wataibuka na kuuzia watu TV za kawaida kwa bei
ya digital ready TV.
Digital Ready TV huwa zimeandikwa (labelled);
ü DVB- T Tuner
ü DVB-T2 Tuner
Mafanikio
Mafanikio ni makubwa sana kwani
kampuni tatu zishapewa leseni, 2 tayari zinafanya kazi na moja ndo wanamalizia
miundo mbinu.
- Ifahamike kwamba katika mfumo
tulionao wa Analojia ni asilimia 28 (28%) tu ya Watanzania wote walikuwa na
uwezo wa kupata matangazo ya Television.
- Digital Television Coverage yake mpaka
sasa ni 24% ya watanzania wote na ikikamilika coverage itakuwa ni 98% .
Changamoto
- Ulimwengu Mzima una-change kwenda
kwenye mfumo wa Dijitali kutoka Analojia kwa hiyo Tukichelewa tuu sisi ndo
tutakuwa Dampo la vifaa vya electronics vya Analojia (CRT) (since they can’t be
recycled).
- Ving’amuzi vinashuka bei – kadri
uhitaji (demand) unavyokuwa mkubwa siku zote bei huwa inashuka hivyo jipatie
king’amuzi chako sasa.
- Content za TV ili tuweze kujaza hizo
channel 900 hii nichangamoto kubwa sana kwani kutoka channel 30 za sasa kwenda
hadi 900…huh..!
Opportunity
Watanzania
Tubadilike na tuanze kuandaa Contents za TV na kuwauzia hao mashareholder
watatu waweze kuzijaza channel 900. Ili hizi TV zetu ziwe na contents nyingi
ziwe zinazoendana na maadili ya kitanzania kuliko kuachia TV za nje tuu ndo
zijaze hizi channel 900.
Mwisho Kabisa
-
Serikali
iendelee na huu mpango wa kuhama
-
Watu
tukubaliane na tuhame.
- Serikali iendelee na huu mpango wa kuhama
- Watu tukubaliane na tuhame.
"Is the Post Helpful.....Tell a Friend!.....And if You still have any Doubt/Questions/A Word, just leave me comments"




